
EEMC Ni Kifupi Cha maneno "Ethics and Education Motivation Club". Ni mpango Mkakati ulioanzishwa Na Tanzania Youth Ministries (TAYOMI) Kwa Shinikizo la Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kuyaomba Na Kuyataka Mashirika mbalimbali Kuelimisha Jamii Kuhusu Maadili, Elimu Na Ukimwi Baada Ya Mmomonyoko Wa Maadili, Maambukizi Ya Ukimwi Ili Khali Kuielimisha Jamii Kuhusu Dalili, Maambukizi, Kinga Pia Kuwa Na Malengo Katika Maisha. Kauli Mbiu Ya EEMC Ni '' ISHI KWA MALENGO TIMIZA MALENGO YAKO''
Social Plugin