Rais wa EEMC TAYOMI TAIFA , Mhe Majaliwa Padi Mwashiuya kawasha moto EEMC DAY DODOMA MJINI
EEMC Ni Kifupi Cha maneno "Ethics and Education Motivation Club".
Ni mpango Mkakati ulioanzishwa Na Tanzania Youth Ministries (TAYOMI) Kwa Shinikizo la Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kuyaomba Na Kuyataka Mashirika mbalimbali Kuelimisha Jamii Kuhusu Maadili, Elimu Na Ukimwi Baada Ya Mmomonyoko Wa Maadili, Maambukizi Ya Ukimwi Ili Khali Kuielimisha Jamii Kuhusu Dalili, Maambukizi, Kinga Pia Kuwa Na Malengo Katika Maisha.Kauli Mbiu Ya EEMC Ni '' ISHI KWA MALENGO TIMIZA MALENGO YAKO''
Misingi Ya EEMC Iko Mitatu Ambayo Ni;
1. Maadili.
2. Elimu.
2. Elimu.
3. Ukimwi.
MALENGO:
Ni Kuwafikia Watu Na Vijana Wote Walio Shuleni, Vyuo Vya Kati, Vyuo Vikuu Na Vijana Walioko Mtaani Kwa Kuwaelimisha Juu Ya Ukimwi, Maadili Ili Mradi Kuweka Mawazo Chanya Kwa Vijina Ili Tuweze Kuubadilisha Ulimwengu.
NB.
EEMC NI HUDUMA YA KIJAMII INAYO HUSIKA NA WATU WOTE ILI KUWA NA JAMII INAYOFAA KUIGWA.
Karibuni sana tuijenge jamii yetu upya.

Social Plugin